Ndayiragije amjumuisha Manula Kilimanjaro Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Nov 2019
Ndayiragije amjumuisha Manula Kilimanjaro Stars

Mlinda lango wa Simba Aishi Manula ni miongoni mwa wachezaji 32 walioitwa kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' ambacho kitashiriki michuano ya Senior CECAFA Challenge itakayoanza Disemba 07 nchini Uganda

Nyota saba wa Simba wamejumishwa kwenye kikosi hicho kilichowekwa hadharani mapema leo

Aishi Manula, Mohammed Hussein, Gadiel Michael, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga na Miraji Athumani wote wameitwa na kocha Etienne Ndayiragije

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’