Mabosi Simba wateta na Aussems kwa saa moja

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2019
Mabosi Simba wateta na Aussems kwa saa moja

Kamati ya Nidhamu ya klabu ya Simba leo imemuhoji kocha Mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems ambaye anakabiliwa na tuhuma mbalimbali

Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwanasheria Michael Muhina, ilikutana na Aussems katika kikao kilichoanza saa 11 jioni mpaka saa 12  na nusu

Uongozi wa Simba bado haujaweka wazi kuhusu maazimio yaliyofikiwa kwenye kikao hicho huenda hapo kesho Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa atazungumza

Kitambi aendelea kusimamia mazoezi

Wakati hatma ya Aussems ikisubiri uamuzi baada ya kikao hicho, kocha msaidizi Denis Kitambi leo ameongoza mazoezi ya kikosi cha Simba kwa siku ya tatu

Kitambi amesema leo wachezaji wameonyesha kuchangamka tofauti na hali ilivyokuwa siku mbili zilizopita

Hata hivyo amesema kukosekana kwa kocha Aussems mazoezini kunawaweka wachezaji katika wakati mgumu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’