Mo awakaribisha wadau Bunju Disemba 07

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2019
Mo awakaribisha wadau Bunju Disemba 07

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amekaribisha wadau wa soka nchini kushuhudia uzinduzi wa viwanja vya kisasa vya mazoezi klabu ya Simba

Mo amethibitisha kuwa ujenzi wa viwanja hivyo umekamilika na Disemba 07 itafanyika hafla ya uzinduzi

"Wala usiumize kichwa katika swala la Bunju. Tayari kimekamilika! Karibuni wote Bunju tarehe 7 Desemba," Mo ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Disemba 07 Simba inakwenda kuandika historia kwa kumiliki viwanja vyake kwa ajili ya mazoezi

Huo ukiwa ni mwanzo wa mambo makubwa zaidi yatakayofanyika huko Bunju

Mpango wa pili wa ujenzi utahusisha uwekwaji wa majukwaa na Hostel kwa ajili ya wachezaji

Inaelezwa mpango huo utawashirikisha Wanamsimbazi wote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’