Dimba la Simba Bunju kama Ulaya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Nov 2019
Dimba la Simba Bunju kama Ulaya

Matengenezo ya uwanja wa nyasi bandia unaomilikiwa na klabu ya Simba Bunju jijini Dar es salaam, yanaelekea mwishoni sasa baada ya zoezi la kutandika 'kapeti' kukamilika

Tayari benchi la kukalia wachezaji nalo limewekwa

Uwanja huo utakuwa wa kisasa na pengine Simba inaweza ikautumia hata katika mechi zake za kirafiki

Simba inatarajiwa kuanza kuutumia uwanja huo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa January 04 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’