Kapombe aanza mazoezi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
2 Jan 2018
Kapombe aanza mazoezi
Hatimaye mlinzi wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameanza mazoezi na kikosi cha Simba baada ya kuwa nje kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na majeruhi.

Kapombe aliumia jijini Mwanza akiitumikia timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyokuwa ikiwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN, hiyo ikiwa katika mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’.

Hata hivyo huenda Kapombe akahitaji muda zaidi ya kujiweka timamu kabla hajaanza kutumika.

Mbali na Kapombe, beki mpya Asante Kwasi naye amejumuishwa kwenye mazoezi ya kikosi cha Simba kwa mara ya kwanza na huenda akatumika kwenye mchezo wa leo Simba itakapoivaa Mwenge saa kumi jioni.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →