Uwanja wa Simba waongeza fursa Bunju

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Nov 2019
Uwanja wa Simba waongeza fursa Bunju

Idadi kubwa ya watu wameendelea kutembelea uwanja wa klabu ya Simba ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Wengi hasa mashabiki wa Simba wamekuwa na shauku ya kuona uwanja huo ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika

Hapo Bunju Simba itakuwa na viwanja viwili, kimoja cha nyasi asili na kingine cha nyasi bandia

Kile cha nyasi asili tayari kimekamilika, sasa mafundi wanakamilisha zoezi la kutandika nyasi bandia katika kiwanja cha pili

Mashabiki kutoka maeneo mbalimbali wamekuwa wakifika uwanjani hapo kupiga picha ya kushuhudia kinachoendelea

Imekuwa fursa kwa vijana wa Bodaboda ambao wameshukuru neema hiyo iliyoletwa Bunju na klabu ya Simba

Fursa zaidi zitapatikana pale Simba itakapoanza rasmi kufanya mazoezi kwenye uwanja huo mwezi ujao

cut

Tayari baadhi ya wafanyabishara wamepeleka maombi kwa uongozi wa Simba wakiomba wapatiwe maeneo ya kuweka biashara

Hafla ya uzinduzi wa uwanja huo itafanyika Disemba 08 ambapo uongozi wa klabu ya Simba umeahidi kumualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kuzindua viwanja hivyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’