Mkwe wa Fraga alivyoibua maswali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Nov 2019
Mkwe wa Fraga alivyoibua maswali

Kwa wasiofahamu wakala wa kiungo mkabaji wa Simba Gerson Fraga ni mkwe wake kabisa, ambaye yuko nchini kuangalia maendeleo ya mteja wake

Juzi kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting 'mkwe' huyo alipata nafasi ya kupanda basi la klabu ya Simba kuingia uwanjani kushuhudia mtanange huo uliopigwa uwanja wa Uhuru na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0

Kutokana na tetesi zinazoendelea kuhusu kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems, wapo waliodhani Baba mzaa chema huyo wa Fraga yuko kwenye mazungumzo ya kuinoa Simba kwani hata alipokuwa uwanjani akishuhudia mchezo, alikuwa akionekana kuandika mambo mbalimbali kwenye notibuku yake

Picha zake zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii kukifanyika upotoshaji wa kuwaaminisha Wanamsimbazi kuwa uyo ndiye mrithi wa Aussems

Mwenyewe ameshangazwa na kusambazwa kwa picha hizo huku akisisitiza hana taaluma ya ukocha

"Mimi si kocha, bali napenda soka nilichokuwa naandika kama ulikuwa unanifuatilia kinamuhusu Gerson Fraga, ni Mkwe wangu," alisema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
2h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
2h ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
8h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
1d ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’