Kilimanjaro Queens uso kwa uso dhidi ya Kenya, fainali Chalenji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Nov 2019
Kilimanjaro Queens uso kwa uso dhidi ya Kenya, fainali Chalenji

Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens leo itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Kenya kwenye mchezo wa fainali michuano ya CECAFA Senior Women Challenge

Kilimanjaro Queens ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo ambayo walitwaa taji mwaka 2016 ilipofanyika nchini Kenya wakiwafunga wenyeji wao Kenya kwa mabao 2-1

Mchezo wa leo ni kama marudio ya fainali hiyo lakini sasa Kilimanjaro Queens wakiwa wenyeji

Mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali kutokana na uimara wa vikosi vyote

Lakini matumaini ni makubwa Kilimanjaro Queens watatutoa kimasomaso Watanzania kwa kulibakisha kombe hilo nyumbani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
38m ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
15h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
16h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
19h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’