FT : Ruvu Shooting 0-3 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Nov 2019
FT : Ruvu Shooting 0-3 Simba

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo wamekata ngebe za Ruvu Shooting baada ya kuwafumua mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Uhuru

Ruvu Shooting walionekana kukamia mchezo huo hata hivyo ni Simba iliyokuwa bora zaidi, ushindi huo mnono umedhihirisha umwamba wao dhidi ya maafande hao wa Ruvu

Ilikuwa siku nzuri kwa mshambuliaji Miraji Athumani 'Sheva' ambaye ameendeleza ubora wake katika kuzifumania nyavu msimu huu

Miraji alipachika mabao mawili katika dakika za 40 na 75 huku bao la jingine likiwekwa kimiani na beki raia wa Brazil Tairone Da Silva ambaye aliujaza kimiani mpira wa kona uliochongwa na Francis Kahata

Ushindi ndio matokeo ambayo Simba ilihitaji, na sasa wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 25

Aidha, Miraji ameendelea kujiimarisha katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu sasa akifikisha mabao sita, akimkaribia kinara Meddie Kagere ambaye amefunga mabao 8

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’