Baada ya kutua Zanzibar mapema jana Jumatatu, jioni kikosi cha Simba kilifanya mazoezi wenye uwanja wa Ngome Fuoni kujiandaa na mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Mwenge.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa leo Jumanne Januari 02, saa kumi na nusu jioni.
Kocha wa Simba Masoud Djuma amesema mazoezi hayo ni maalumu kuondoa uchovu wa wachezaji na kuirudisha miili yao katika hali ya kawaida.
Wachezaji wa Simba hawakupata muda wa kutosha kupumzika baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC juzi.
Kikosi kilisafiri kutoka mkoani Mtwara jana na leo kuunganisha safari ya visiwani Zanzibar.

ADVERTISE HERE