Mlinda lango namba mbili wa Simba, Said Mohamed ‘Nduda’, ameondoka leo mchana mjini Dar es Salaam kwenda India kwa ajili ya matibabu ya goti.
Nduda aliyesajiliwa Simba Julai mwaka huu akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, hajacheza mechi yoyote ya Ligi Kuu msimu huu kutokana na maumivu ya goti aliyoyapata Agosti mazoezini.
Mlinda lango huyo aliumia mwanzoni mwa mwezi wa nane lakini mipango ya safari yake ilichukua muda mrefu kutokana na sababu ambazo mwenyewe amesema zilikuwa nje ya uwezo wake.
Mchezaji huyo anatibiwa na klabu yake ya Simba iliyomsajili kutoka Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE