Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo watakuwa uwanja wa Uhuru kuwapa burudani mashabiki wake katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Simba imewaalika mashabiki wake wajitokeze kwa wingi katika mchezo huo ambao watakuwa wageni
"Kikosi cha Mabingwa wa nchi leo kitakuwa dimbani kutafuta alama tatu mbele ya Ruvu Shooting. Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu, " imesema taarifa ya Simba

ADVERTISE HERE