Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba, leo kimefanya mazoezi ya mwisho tayari kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Uhuru
Mazoezi hayo yamefanyika uwanja wa Ghymkhana jijini Dar es salaam




ADVERTISE HERE