Kagere, Shiboub waiwahi Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Nov 2019
Kagere, Shiboub waiwahi Ruvu Shooting

Kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom Meddie Kagere leo amejiunga na wachezaji wengine wa Simba kwenye mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Gymkhana yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Uhuru

Kagere alichelewa kurejea nchini kutoka Rwanda ambako alikuwa akikabiliwa na majukumu ya timu ya Taifa

Aidha kiungo Sharaff Elden Shiboub naye alihudhuria mazoezi hayo ya leo

Ni Clatous Chama pekee ambaye ado hajarejea miongoni mwa wachezaji waliokuwa na majukumu ya Kimataifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’