Aussems atua asubuhi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Nov 2019
Aussems atua asubuhi

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amerejea nchini asubuhi hii ya Alhamisi, Novemba 21 baada ya kuwa 'nje ya ofisi' kwa siku tatu akishughulikia masuala binafasi

Inaelezwa Bosi huyo wa mabingwa wa nchi atakuwa na kikao na mabosi wa Simba baadae leo

Pamoja na kuendelea kusambaa kwa taarifa kuwa Simba imeachana na Aussems, hakuna uthibitisho wowote uliotolewa na uongozi wa Simba

Jana Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa alisema bado ni mwajiriwa na Simba, kama kuna jambo lolote uongozi wa Simba utawataarifu Wanachama na Mashabiki wao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’