Aussems abanwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Nov 2019
Aussems abanwa Simba

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems baadae atakuwa na kikao na Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa

Aussems alitarajiwa kuwasili jana usiku baada ya kuondoka siku ya Jumatatu akieleza kwenda kushughulikia masuala binafsi

Uongozi wa Simba umemtaka kocha huyo kujieleza sababu ya kuondoka kwake ghafla

Inaelezwa Aussems hakuomba ruhusa, alitoa taarifa ya safari yake wakati akiwa uwanja wa ndege

Jambo hilo linaelezwa kuwakera mabosi wa Simba ambao walitilia shaka safari hiyo

Aidha kuna taarifa kuwa Aussems alikwenda nchini Afrika Kusini kukamalisha mazungumzo ya kujiunga na moja ya vilabu vinavyoshiriki ligi kuu nchini humo

Upo uwezekano mkubwa Simba inaweza kuachana na Aussems kutokana na mazingira hayo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’