Goli dhidi ya JKT Tanzania lamuongezea mzuka Wilker

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Nov 2019
Goli dhidi ya JKT Tanzania lamuongezea mzuka Wilker

Mshambuliaji wa Simba raia wa Brazil Wilker Da Silva amesema bao alilofunga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania limemuongezea ari ya kuipigania zaidi Simba

Katika siku za hivi karibuni Wilker amekuwa na wakati mgumu kwenye kikosi cha Simba baada ya mashabiki kukosa imani nae kutokana na ukame wa mabao uliokuwa ukimkabili

Wilker amesema pamoja na kuwa bao hilo amefunga kwenye mchezo wa kurafiki, lilimpa furaha kubwa

"Nilifurahi sana baada ya kufunga goli. Simba ni timu kubwa na tunapaswa kupambana ili kushinda kila mchezo bila kujali aina ya mpinzani ambaye tunakutana nae," amesema

Wilker ana kazi ya kulishawishi benchi la ufundi kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili Disemba 16

Inaelezwa Simba inatarajiwa kuongeza mshambuliaji yeye akionekana kuwa hataraini zaidi kukatwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’