Kikosi cha Simba kimewasili visiwani Zanzibar tayari kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi iliyoanza Disemba 29, 2017.
Simba imepangwa kundi A na kesho Jumanne itashuka katika uwanja wa Amani kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Mwenge.
Simba iko kundi moja na Azam FC na timu hizo zinatarajiwa kuchuana Jumamosi ijayo, Januari 06, 2018

ADVERTISE HERE