Wilker afungua akaunti ya mabao Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Nov 2019
Wilker afungua akaunti ya mabao Simba

Mshambuliaji wa Simba raia wa Brazil Wilker Da Silva, ameifungia Simba bao pekee kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania

Wilker alifunga bao hilo kwa shuti kali akiwa nje ya 18 baada ya kutengewa pasi murua na Francis Kahata katika dakika ya sita

Mchezo ulipigwa uwanja wa Azam Complex Chamazi. Mpaka dakika 90 zinamalizika, Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0

Hiki hapa kikosi kilichoanza;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
54m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’