Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kitashuka tena uwanja wa Azam Complex Chamazi kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa mbili usiku na hautakuwa na kiingilio
Huo utakuwa mchezo wa pili wa Simba kujipima kwenye uwanja huo katika kipindi cha siku tatu
Novemba 16 ilicheza na KMC na kupoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 2-1
ADVERTISE HERE