Aussems atarejea baada ya siku tatu - Senzo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Nov 2019
Aussems atarejea baada ya siku tatu - Senzo

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingiza ameeleza sababu ya kuondoka ghafla kwa kocha mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems

Aussems jana hakuonekana kwenye mazoezi ya kikosi cha Simba yaliyofanyika uwanja wa Ghymkhana hali iliyoibua sintofahamu miongoni mwa mashabiki wa Simba na wadau wa soka nchini

Senzo amesema Aussems aliomba ruhusa ya siku tatu ili akashughulikie masuala binafsi hivyo wanatarajia atarejea baada ya muda huo

"Kocha alituomba tumpe ruhusa ya siku tatu aende akashughulikie masuala binafsi, hivyo tunatarajia atarejea baada ya muda huo," alisema

Hata hivyo Senzo amekiri kuwa suala hilo limekuja ghafla kwani Aussems alipiga simu kuwataarifu wakati akiwa uwanja wa ndege

Awali uongozi wa Simba haukuwa na taarifa juu ya udhuru huo

Mazoezi ya jana yalisimamiwa na kocha Msaidizi Denis Kitambi, ataendelea na jukumu hilo mpaka pale Aussems atakaporejea

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’