Uongozi wa Simba umesema ujenzi wa viwanja viwili vya mazoezi vilivyopo Bunju umekaribia kumalizika
Kwa sasa zoezi linaloendelea na kutandikwa kwa kapeti kwenye kiwanja cha nyasi bandia wakati kile cha nyasi asili tayari kimekamilika









ADVERTISE HERE