Bocco aanza mazoezi mepesi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Nov 2019
Bocco aanza mazoezi mepesi Simba

Nahodha wa Simba John Bocco leo amejumuishwa na wachezaji wengine kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika uwanja wa Ghymkhana jijini Dar es salaam

Bocco amekuwa nje kwa takribani miezi mitatu akisumbuliwa na majeraha ya goti

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema Bocco ameanza program hiyo ya mazoezi ikiwa ni hatua ya mwanzo kuweza kurejea kikosini

Kurejea kwa mkongwe huyo ni habari njema kwa Simba kwani msimu huu imekuwa ikimtegemea mshambuliaji mmoja tu, Meddie Kagere

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’