Simba yaendelea na mawindo ya Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Nov 2019
Simba yaendelea na mawindo ya Ruvu Shooting

Kikosi cha Simba leo asubuhi kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting

Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Novemba 24 uwanja wa Uhuru

Simba imejifua uwanja wa Gymkhana huku ikiwakosa baadhi ya nyota wake wanaokabiliwa na majukumu ya timu za Taifa

Hata hivyo kocha msaidizi Denis Kitambi amesema wachezaji waliopo wanaendelea vyema na program za mazoezi

Tayari Ruvu Shooting kupitia msemaji wao Masau Bwire wameanza tambo

Juzi wakati akihojiwa na waandishi wa habari, Bwire alisema timu yao imedhamiria kushinda mechi zote dhidi ya timu zilizomaliza nafasi nne za juu msimu uliopita na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF

Ruvu Shooting tayari imezifunga Yanga, KMC na Azam Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’