Klabu ya Simba inamalizia matengenezo wa uwanja wake wa nyasi bandia ambapo zoezi la kutandika kapeti linaendelea
Zoezi hilo lilisimama kupisha mvua zilizonyesha kwa wingi jijini Dar es salaam mwezi uliopita
Uzinduzi wa viwanja vya Simba unatarajiwa kufanyika Disemba 08 ambapo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema watamualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Magufuli kuzindua viwanja hivyo


ADVERTISE HERE