Leo saa mbili usiku mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba watacheza na KMC ukiwa ni mchezo wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Uongozi wa Simba umetoa fursa kwa mashabiki wake kuushuhudia mchezo huo bila kiingilio
Aidha milango ya uwanja huo itafungwa baada ya uwanja wa kujaa ili kuepuka msongamano
Hata hivyo mchezo huo pia utarushwa mbashara na Azam Sport 2
ADVERTISE HERE