Aussems kunoa silaha kwa KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2019
Aussems kunoa silaha kwa KMC

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba baadae leo Jumamosi, watashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kucheza na KMC ukiwa ni mchezo wa kirafiki

Mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa mbili usiku, hautakuwa na kiingilio

Ni sehemu ya maandalizi ya timu zote kuelekea michezo ya ligi ambayo kwa sasa imesimama kupisha michuano ya Kimataifa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mchezo huo utawasaidia wachezaji wake kubaki katika hali ya ushindani wakati huu ambao ligi imesimama

"Tuna mchezo wa ligi Novemba 24 (dhidi ya Ruvu Shooting), mchezo huu utawasaidia kuendelea kubaki katika hali ya ushindani. Nafikiri tutawapa nafasi wachezaji wote waliobaki kikosini," amesema

Katika mchezo huo Simba itawakosa nyota wake tisa ambao wako timu za taifa

Utakuwa mbashara kupitia Azam Sport 2

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’