Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' muda mchache ujao itashuka uwanja wa Taifa kumenyana na Guinea ya Ikweta katika mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za Afcon 2021
Hiki hapa kikosi kinachoanza mchezo huo;

ADVERTISE HERE