Klabu ya Simba imepata msiba baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani Omary Gumbo ambaye pia aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo
Gumbo aliitumikia Simba akiwa mchezaji miaka ya 70 ambapo ni miongoni mwa wachezaji waliovurumisha Yanga mabao 6-0 mwaka 1977
Mkongwe huyo pia alikuwa kiongozi mwaka 2012 wakati Simba ilipoifumua Yanga mabao 5-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa
Innaa Lillaahi Wainna Ilayhi Raajiun..
ADVERTISE HERE