Kocha wa Simba Queens Mussa Mgosi anachukua mafunzo ya CAF Diploma C, mafunzo hayo yakigharamiwa na Simba katika mpango wa kumuendeleza kocha huyo ambaye amekuwa familia ya klabu ya Simba kwa muda mrefu
Kama sehemu ya mafunzo yake kwa vitendo, Mgosi amejumuishwa kwenye benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na kocha Mkuu Patrick Aussems
Leo alipata nafasi ya kuongoza mazoezi ya Simba chini ya uangalizi wa Aussems na kocha Msaidizi Denis Kitambi




ADVERTISE HERE