Shiboub atupia Sudan ikiichapa Sao Tome 4-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Nov 2019
Shiboub atupia Sudan ikiichapa Sao Tome 4-0

Sudan imeanza vyema kampeni ya kusaka tiketi ya kutinga fainali za Afcon 2021 zitakazofanyika nchini Cameroon kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya visiwa vya Sao Tome

Kiungo wa Simba Sharaff Elden Shiboub ni miongoni mwa wachezaji waliopachika mabao kwenye mchezo huo

Shiboub alikuwa moto wa kuotea mbali kwa safu ya ulinzi ya Sao Tome wakikosa ujanja wa kumkabili kila aliposhika mpira

Michuano hiyo inaendelea leo kwa mechi mbalimbali kupigwa Tanzania tutashuka dimba la Taifa kesho kuikabili Equatorial Guinea

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’