Nyota 10 walioitwa timu za Taifa waiathiri Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Nov 2019
Nyota 10 walioitwa timu za Taifa waiathiri Simba

Moja ya changamoto ambayo inaikabili Simba ni uchache wa wachezaji baada ya nyota wengi kuitwa timu za Taifa

Simba imetoa wachezaji 10 timu za Taifa, saba Tanzania, wengine wakiitwa Zambia, Sudan na Rwanda

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wanalazimika kuendelea na program za mazoezi licha ya kuwa na wachezaji wachache

Aussems amesema lazima wachezaji wote wawe tayari kukabiliana na ushindani wa ligi ambao umeongezeka msimu huu

"Kuna ushindani mkubwa wa ligi kwa sasa na kila mmoja anapambana kufanya vema, licha ya wachezaji wangu baadhi yao kuitwa timu za taifa bado tutaendelea na maandalizi," amesema

Simba imerejea mazoezini jana baada ya mapumziko ya siku tatu

Imeanza kujifua ikiwa na wachezaji 16 ambao baadhi ya wachezaji wa timu ya vijana wanatarajiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’