Wachezaji wote wamelipwa posho zao - TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2019
Wachezaji wote wamelipwa posho zao - TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemshukia mwandishi wa habari wa kituo cha EATV Abdulaziz Mrisho anayedaiwa kusambaza taarifa kuwa kiungo Jonas Mkude amegoma kuingia kambini Stars akishinikiza alipwe madai ya posho

TFF pamoja na Mkude mwenyewe wamekanusha taarifa hiyo ambapo TFF imebainisha kuwa wachezaji wote wamelipwa stahiki zao

Aidha TFF imepanga kumchukulia hatua mwandishi huyu..

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’