Kiungo fundi wa Simba Sharaff Elden Shiboub amejumuishwa kwenye kikosi cha Sudan ambacho kinajiandaa na michezo ya kusaka tiketi ya fainali za AFCON 2021
Keshokutwa Jumatano watacheza dhidi ya Sao Tome kabla ya kuivaa Afrika Kusini, Novemba 17
Shiboub, Clatous Chama na Meddie Kagere ni nyota wa kigeni wa kikosi cha Simba ambao wameitwa timu zao za Taifa kwa ajili ya michuano hiyo
ADVERTISE HERE