Wachezaji saba wa Simba ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambao wameanza maandalizi ya mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 dhidi ya Equatorial Guinea
Mchezo huo utapigwa Ijumaa, Novemba 15 2019, saa moja jioni
Stars inajifua uwanja wa Taifa chini ya kocha wake Mkuu Etienne Ndayiragije ambaye anasaidiwa na Selemani Matola na Juma Mgunda wakiwa makocha wasaidizi


ADVERTISE HERE