Wanapoishi wachezaji Simba usipime

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Nov 2019
Wanapoishi wachezaji Simba usipime

Uongozi wa klabu ya Simba umewatoa hofu mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuhusu matunzo ya kikosi chao

Juzi baada ya mchezo dhidi ya Prisons kuliibuka tetesi kuwa wachezaji wa Simba hawaishi kambini, wanatokea majumbani mwao jambo ambalo wengi wamehofia pengine limechangia Simba kutofanya vizuri michezo ya hivi karibuni

Simba imethibitisha kuwa wachezaji wanaishi kambini ambapo wako Hostel za Jeshi Mbweni, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Hostel hizo za Jeshi, ziko maeneo tulivu ambayo hayana bugudha za aina yoyote

"Hii ndio kambi wanayoishi wachezaji na benchi la ufundi la Simba. Walianza kuitumia tarehe 1 Agosti, 2019," ilisema taarifa ya Simba kwenye mtandao wa Instagram

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’