Simba kurejea jijini Dar es salaam leo, kuunganisha Zanzibar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Dec 2017
Simba kurejea jijini Dar es salaam leo, kuunganisha Zanzibar
Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ndanda FC jana, kikosi cha Simba kinarejea jijini Dar es salaam leo.

Simba itaelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi ambapo keshokutwa Januari 02 itacheza mchezo wa kwanza dhidi ya Mwenge.

Kikosi cha Simba kimefunga mwaka 2017 kikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya kujikusanyia alama 26 sawa na Azam FC, Simba ikiwa imefunga mabao mengi zaidi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’