KMC yatangaza kumfuta kazi Mayanja

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Nov 2019
KMC yatangaza kumfuta kazi Mayanja

Klabu ya KMC imetangaza kumfuta kazi aliyekuwa kocha wake Mkuu Jackson Mayanja baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Mayanja aliyewahi kuwa kocha Msaidizi wa Simba wakati wa Joseph Omog, ametimuliwa ndani ya saa 24 baada ya timu hiyo kuchapwa mabao 2-1 na Kagera Sugar

Anakuwa kocha wa pili wa timu ya Ligi Kuu kutimuliwa wiki hii baada ya Yanga kumtimua Zahera mapema

Mayanja ameitumikia KMC kwa miezi minne tu

Aliiongoza timu hiyo kwenye michuano ya kombe la Shirikisho ikitolewa hatua ya awali na AS Kigali

Kwenye ligi KMC imejikusanyia alama nane tu baada ya kucheza mechi nane

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’