Kaburu alikuwepo uwanjani kuishuhudia Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2019
Kaburu alikuwepo uwanjani kuishuhudia Simba

Baada ya kuachiwa kwa dhamana, Makamu wa Rais wa zamani wa klabu ya Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' leo alikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Uhuru, ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Juzi November 5 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam iliwaachia kwa dhamana Kaburu na aliyekuwa Rais wa Simba Evans Aveva baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutupilia mbali mapingamizi ya upande wa Serikali waliopinga wasipewe dhamana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’