Wilker akalia kuti kavu Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2019
Wilker akalia kuti kavu Simba

Upo uwekezano mkubwa mshambuliaji Wilker Da Silva akaachwa dirisha dogo ili kusajili mshambuliaji mwenye uwezo zaidi yake

Wilker aliyetua Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja, ameshindwa kuonyesha makali yake pamoja na kupewa nafasi mara kadhaa

Mshambuliaji huyo alianza msimu vibaya kwa kupata majeraha ambayo yalimuweka nje kwa zaidi ya wiki sita

Lakini hata aliporejea baada ya kupona, ameshindwa kumshawishi kocha Patrick Aussems kumtumia katika michezo muhimu

Majeraha ya mara kwa mara kwa nahodha John Bocco yanatajwa kuwa sababu ya Simba kusajili mshambuliaji dirisha dogo

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’