Aveva, Kaburu waachiwa kwa dhamana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Nov 2019
Aveva, Kaburu waachiwa kwa dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana Rais wa zamani wa klabu ya Simba Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange maarufu 'Kaburu' .

Hii ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutupilia mbali mapingamizi ya upande wa serikali waliokuwa wakipinga dhamana hiyo

Masharti ya dhamana yao ni wadhamini wawili waliosaini Bondi ya Shilingi milioni 30

Aveva na Kaburu wamepata dhamana baada ya kufutiwa shitaka la utakatishaji wa fedha

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’