UD Songo watolewa CAF CC kwa kufungwa 8-1

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Nov 2019
UD Songo watolewa CAF CC kwa kufungwa 8-1

UD Songo waliyoitoa Simba ligi ya mabingwa, wamekumbana na kipigo cha mbwa mwizi Afrika Kusini baada ya kufumuliwa mabao 6-0 na Bidvest Wits

Songo pia walifungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa katika uwanja wao wa nyumbani hivyo kutolewa kombe la Shirikisho kwa kubugizwa mabao 8-1!

Walihamia kombe la Shirikisho baada ya kubugizwa mabao 4-2 na Platinum Stars ya Zimbabwe kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Kwa hakika hawa jamaa walibahatisha tu kwa Simba kwani timu yao ni ya kawaida

Kilichowabeba ni kuwahi kuanza kwa michuano hiyo msimu huu wakati Ligi ya Tanzania ikiwa bado haijaanza

Walikutana na Simba ikiwa bado haijaiva kama ilivyo sasa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’