Mo apongeza ushindi mnono Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Nov 2019
Mo apongeza ushindi mnono Simba

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' amewapongeza wachezaji wa timu hiyo baada ya kuifumua Mbeya City mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa hapo jana

Mo amesema Wanamsimbazi wote wamefurahia matokeo hayo pamoja na kiwango kizuri kilichoonyeshwa na wachezaji

Ushindi huo ni baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Mwadui Fc

"Hongereni wote! Mchezo nzuri, ushindi nzuri. Leo kila mtu amefurahi sana," ameandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Jana mabingwa hao wa nchi walitandaza kandanda la 'kitabuni' wakiwaweka kwenye wakati mgumu vijana wa Mbeya City muda wote wa mchezo

Alhamisi ijayo, Novemba 07 itakuwa zamu ya ndugu zao Tanzania Prisons kukumbana na mziki wa Simba katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’