Kapombe atangaza kustaafu kuchezea timu ya Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Nov 2019
Kapombe atangaza kustaafu kuchezea timu ya Taifa

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe amewasilisha barua kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) juu ya uwamuzi wake wa kutangaza kustaafu kuichezea tmu ya Taifa kutokana na matatizo ya kiafya

Kulingana na barua hiyo, Kapombe amesema kutokana na changamoto ya majeruhi inayomkabili mara kwa mara, amelazimika kuchukua uamuzi huo wa kustaafu kuchezea timu ya Taifa kwa muda

Aidha Kapombe amesema anaweza kurejea kuichezea timu hiyo baadae kama afya yake itaimarika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’