Walinzi wa pembeni Shomari Kapombe na Mohammed Hussein 'Tshabalala' watakuwa sehemu ya kikosi cha Simba ambacho kesho kitacheza na Mbeya City uwanja wa Uhuru
Wachezaji hao walikosa michezo miwili iliyopita kutokana na kusumbuliwa na majeraha
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amethibitisha kuwa wachezaji hao wako fit baada ya kupona ambapo leo wameshiriki vyema mazoezi ya mwisho
Simba imekamilisha maandalizi yake tayari kwa mchezo huo
ADVERTISE HERE