Wachezaji John Bocco, Medie Kagere na Gerson Fraga jana walijumuika na wafanyakazi wa kampuni ya A-One (wazalishaji wa MoXtra) kugawa bure jezi za Simba, soda na maji kwa mashabiki kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam




ADVERTISE HERE