Chama ajumuishwa timu ya Taifa Zambia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2019
Chama ajumuishwa timu ya Taifa Zambia

Kiungo fundi wa Clatous Chama 'Triple C' amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' kuelekea michezo ya kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2021

Zambia inatarajiwa kucheza na timu za Algeria na Zimbwabe Novemba 14 na 19 yote ikiwa michezo ya kuwania kufuzu

Simba inatarajiwa kutoa nyota wengi kwenye timu za Taifa kuelekea michezo hiyo

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Etienne Ndayiragije bado hajaweka hadharani kikosi chake kitakachozikabli Equatorial Guinea Novemba 15 na Libya Novemba 19, lakini nyota wa Simba sio chini ya saba huenda wakaitwa

Meddie Kagere anatarajiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha Rwanda ambacho kitazikabili Msumbiji na Cameroon

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
8h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
8h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
11h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’