Bocco arejea, Kapombe, Tshabalala safi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2019
Bocco arejea, Kapombe, Tshabalala safi

Nahodha wa Simba John Bocco anaweza kujumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo ambacho kesho Jumapili kitashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu

Baada ya kuwa nje kwa zaidi ya miezi miwili akiuguza majeraha, jana Bocco aliweza kufanya mazoezi ya timu

Aidha, walinzi Shomari Kapombe na Mohammed Hussein nao waliweza kushiriki mazoezi hayo baada ya kukosekana kwa wiki kadhaa wakisumbuliwa na majeraha

Mabingwa hao watetezi wamepania kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Mbeya City baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Mwadui Fc

Jana Simba ilifanya mazoezi uwanja wa Ghymkhana, wakirejea kwenye majukumu baada ya mapumziko ya siku moja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’