Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata ambao ni dhidi ya Mbeya City
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili Novemba 03 kwenye uwanja wa Uhuru





ADVERTISE HERE