Happy BirthDay Zimbwe Jr

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Nov 2019
Happy BirthDay Zimbwe Jr

Nahodha Msaidizi wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' leo ni siku muhimu kwake ikiwa ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Zimbwe Jr ni mmoja wa wachezaji waandamizi wa kikosi cha Simba, ni zao la Msimbazi kwani alilelewa timu ya vijana

Siku za karibuni amekuwa haonekani kikosini kutokana na majeruhi

Hata hvyo itayari amepona, benchi la ufundi linasubiri wakati muafaka ili kuanza kumtumia

Ile Kamati ya 'Birthday', Zimbwe Jr ni mmoja wa mabosi wake, ile kazi ambayo amekuwa akiwafanyia wengine, leo inamrudia mwenyewe...!

HAPPY BIRTHDAY MOHAMMED HUSSEIN...

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’